x


Loading...

MAKAMBA Afunguka Kuhusu Mzee Kingunge

PICHA ZA MAMA NTILIE AKILIWA NA KONDA ZIKO HAPA CHINI =>

Naibu Waziri January Makamba amemtolea uvivu mshauri wa zamani wa Siasa wa Rais Jakaya Kikwete, Kingunge Ngombale-Mwiru kwa kuupinga mchakato wa uteuzi wa mgombea wa Urais kwa tiketi ya CCM na kusema anakivuruga chama.

Kingunge kumpigania mbunge wa Monduli na Waziri Mkuu wa zamani Edward Lowassa, amekuwa akitoa matamko mbalimbali kuhusiana na mchakato huo akisema haukutenda haki hasa baada ya kuenguliwa jina la Lowassa ambapo baada ya mchujo wa majina likapatikana jina la mgombea mmoja, Dk John Magufuli.

“Mzee Kingunge ni mtu mzima, ninamuheshimu sana, ni mkongwe katika siasa, lakini anakivuruga chama… Ndani ya chama kuna wazee wenye busara ambao waliangalia vitu vingi hadi kumteua mgombea kwani unaweza kuwa mtendaji mzuri lakini ukawa na kasoro nyingi hivyo, unaweza vilevile kuonekana ukashindwa kukivusha chama kwenye ushindi”—January Makamba.

“Mimi ninamuheshimu sana Mzee Kingunge, lakini siwezi kukubaliana naye anavyokandia mchakato. Mimi ninaamini ulikuwa sahihi, kila mtu ameridhika na ndiyo maana kura zilipigwa”—January Makamba.

Katibu Mkuu Mstaafu wa chama hicho, Mzee Yusuph Makamba alisema kwamba watu wanaoendelea kulalamikia mchakato wa kumpata mgombea Urais kwa tiketi ya CCM, wana masilahi binafsi na siyo kwa ajili ya kukiimarisha chama hicho.


Mwanzoni mwa wiki, Katibu huyo wa zamani wa halmashauri kuu ya CCM Mzee Kingunge alisema Kamati ya Usalama na Maadili iliteka majukumu ya Kamati Kuu baada ya kuamua kuchuja majina ya makada waliojitokeza kuwania urais hadi kufikia watano, akisema jitihada hizo zilifanywa kwa kuvunja kanuni na zililenga kumuengua Lowassa kuwania kuingia Ikulu.

KAMA HUOGOPI KUONA UCHI WA MTU MZIMA,BOFYA HAPA CHINI

Ungana nami Sasa Nikutumie Habari za Mapenzi,Moja kwa moja Kwako Bofya HAPA U Like PAGE YANGU NIKUUNGE FASTA!

Share na Marafiki Post HiiPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Karibu tena
Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

MAPENZI MATAMU BLOG
Powered by Blogger.
© Copyright POA TU
Back To Top